al nassr

Al Nassr Football Club (Arabic: نادي النصر السعودي; Naṣr meaning Victory) is a Saudi Arabian football club based in Riyadh. Formed in 1955, the club plays its home games at the Mrsool Park. Their home colours are yellow and blue.
Al Nassr is one of the most successful clubs in Saudi Arabia, Victory championships are estimated at 27 championships at the level of all competitions.At domestic level, the club has won nine Premier League titles, six King's Cups, three Crown Prince's Cups, three Federation Cups and two Saudi Super Cups. At international level, they have won two GCC Champions Leagues and held the impressive feat of pulling a historic Asian double in 1998, by claiming both the Asian Cup Winners' Cup and the Asian Super Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Magoli yote kwenye mechi ya Inter Miami Vs Al nassr

    Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu...
  2. Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

    Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha. Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao? Na wale waliokuwa wanasema Saudia kuna hela hakuna mpira nadhani leo tumepata majibu
  3. Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

    Kauli za Wakongwe hao wa Soka zinakuja muda mfupi baada ya #CristianoRonaldo kujiunga na Klabu ya #AlNassr kwa mkataba wa miaka miwili na nusu wenye thamani ya Tsh. Bilioni 493.7 kwa mwaka, sawa na Tsh. Bilioni 41.1 kwa mwezi. #GaryNeville ambaye amewahi kuchezea #ManUnited amesema "Nilihisi...
  4. Ronaldo atua rasmi Al Nassr

    Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mpya na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia. Mkataba huo utamfanya kuwa mchezaji anyelipa zaidi na atasalia klabuni hapo hadi 2025. Ronaldo mwenye umri wa Miaka 37 amekabidhiwa jezi namba 7.Al Nassr ni...
  5. AL Nassr ya Saudi Arabia yamtaka Cristiano Ronaldo kwa Tsh. Bilioni 524.7

    Klabu hiyo imesema iko tayari kumsaini nyota huyo kwa mkataba wa miaka 3 ukiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka. Aidha AL Nassr kutoka Mashariki ya Kati imesema haina tatizo endapo Ronaldo atataka kuendelea kucheza hata baada ya kufikisha miaka 40. CR7 ndiye mchezaji pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…